Kivinjari (Browser) Maalum kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu
Kivinjari hichi kitazuia kutembelea tovuti ambazo hazifuati maadili ya kiislamu hasa kipindi hichi
Jack ni mpenzi wa teknolojia napenda kuandika kuhusu maujanja, simu na kompyuta. Unaweza kunipa maujanja kupitia [email protected]