Sponsored : Jiandae na Simu Mpya ya Infinix NOTE

Infinix NOTE ni moja ya toleo pendwa kwa vijana wenye kupenda teknolojia
Sponsored : Jiandae na Simu Mpya ya Infinix NOTE Sponsored : Jiandae na Simu Mpya ya Infinix NOTE

Ni bandika bandua, Je ni kweli baada ya Infinix Zero X pro sasa kampuni ya simu za mkononi Infinix kuja na muendelezo wa toleo la NOTE.?

Simu za Infinix NOTE ni moja ya toleo pendwa kwa vijana wenye kupenda zaidi teknolojia katika urahisishaji wa kazi za kimasomo na kiofisi.

Hivi punde picha yenye muonekano wa simu ikiwa imeandikwa ‘THE NEXT NOTE PLAY BIG’ imeonekana kuvuja kwenye mitandao ya blog za tech lakini pia kwenye kurasa ya @infinixmobile Infinix imetupia picha inayoashiria ujio wa simu mpya ‘FIRST 11, ARE YOU READ FOR THE FIRST ROUND? Kushabihiana kwa hizi sentensi mashabiki wanatafisiri hii ni simu mpya katika toleo la NOTE.

Advertisement

Simu za toleo la Infinix NOTE hukubalika zaidi kutokana na muonekana mzima wa simu hizi ambao ni imara na wenye kuvutia lakini kivutio kikubwa zaidi kwa simu hizi ni ubora wake wa camera zenye teknolojia ya AI.

Kamera za simu za toleo la NOTE huimarishwa kwa kila toleo jipya kama ilivyokuwa kwa NOTE 8 ikiwa na MP48 na NOTE 10 ikiwa na MP64.

Je ni yapi matarajio yako kwa simu hii katika upande wa camera tafadhali jibu kwa kugusa link hii https://bit.ly/3BHedZw

Sifa za simu hii mpya bado hazijatambulika ila ninachofahamu Infinix haijawahi kurudi nyuma ni mbele kwa mbele Infinix hivi punde ilizindua Infinix Zero x pro ikiwa ndio simu ya kwanza kwa kampuni ya Infinix kuja na kioo aina ya AMOLED ambayo sifa yake kubwa ni kuonyesha rangi halisi ya picha, utumizi mdogo wa chaji na ‘kurespond’ kwa haraka wakati wa kuperuzi, pia kuna uwezekano wa simu mpya ya NOTE kuja na kioo cha aina ya AMOLED.

Tembelea mara kwa mara @infinixmobiletz kufahamu ni Infinix NOTE ngapi na sifa zake kwa ujumla.

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use