Angalia Hapa Mubashara! Uzinduzi wa Samsung Galaxy Note 8

Kama wewe ni mpenzi wa simu kutoka kampuni ya Samsung hii ni kwajili yako
uzinduzi wa Note 8 uzinduzi wa Note 8

Kama wewe ni mpenzi wa simu kutoka kampuni ya Samsung basi leo ni siku maalum sana kwako, kwani kampuni hiyo leo inazindua simu mpya ya Samsung Galaxy Note 8. Kuwa wakwanza kujua yote yatakayo jiri kwenye uzinduzi huo unaweza kungalia hapo chini uzinduzi mzima mubashara kabisa moja kwa moja kutoka mjini New York nchini Marekani.

Advertisement

Unaweza kuendelea kusoma habari zaidi za simu hiyo hapo chini ambazo zilitokea kabla ya kutoka rasmi kwa simu hiyo, pia kama utaki kuangalia uzinduzi huu ungana nasi kwenye mitandao yetu ya kijamii tutakua tuki kujulisha habari zote pindi zitakapo toka. Tufuate kupitia mitandao yetu ya kijamii ya Twitter, Facebook, Instagram, Youtube

Habari zaidi kuhusu simu ya Samsung Galaxy Note 8

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa Video.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
2 comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *