Tetesi : Samsung kusitisha Simu za Galaxy Note (2021) Simu hizo zinasemekana kusitishwa kutokana na mahitaji kupungua sababu ya Corona
Tetesi : Instagram Kuja na Sehemu ya Link Kwenye Description Instagram kuanza kuruhusiwa kuweka link kwenye description kwa pesa
Tetesi : Baadhi ya Simu za Samsung na iPhone Kuja Bila Chaja Samsung kuanza mwaka 2021 na Apple kuanza mwaka huu kwenye iPhone 12
Tetesi : Jiandae na Simu Mpya ya TECNO Phantom 10 Phantom 10 inatarajiwa kuja na kamera ya kisasa na kioo kikubwa (Full Display)
Tetesi : TECNO na Infinix Kuingia Kwenye Biashara ya TV Bado haijathibitishwa TV hizo zitazinduliwa lini, Ingawa inasemekana ni mwaka huu
Tetesi : Picha za Muonekano wa Simu Mpya ya Galaxy Note 20 Muonekano wa kwanza wa simu mpya ya Samsung Galaxy Note 20
Tecno Kuzindua Simu Mpya ya Camon 15 Tarehe 20 February Simu hii inatarajiwa kuzinduliwa huko nchini India