WhatsApp Yatangaza Kufikisha Jumla ya Watumiaji Bilioni 2 (2020) Facebook ilinunua WhatsApp ikiwa na watumiaji milioni 500
YouTube Imeingiza Zaidi ya Bilioni 15 za Marekani (2019) YouTube imeingiza takribani dola bilioni 5 kwa muda wa miezi 3 iliyopita
Sababu za Watumiaji Kubadilika Kutoka Android Kwenda iOS Hizi hapa ndio sababu kwanini watu wengi uhama kutoa Android kwenda iOS
Ripoti : Huawei Yauza Simu Nyingi Kuliko Kampuni ya Apple Simu ya Huawei P20 ndio imeuza nakala nyingi kuliko Hata iPhone X
TECNO Yashika Namba 7 Bidhaa Zenye Kukubalika Afrika (2018) Pia imeshika namba 3 kwenye kipengele cha eletroniki na kompyuta
Samsung Hatarini Kupitwa na Tecno Mauzo ya Simu Afrika Samsung inaongoza kwa mauzo kwa kuuza nakala 3.4 robo ya kwanza 2018
Ripoti : Android Oreo Bado Sana Sasa Inatumika kwa Asilimia 4.6% Haya ndio matumizi ya mifumo ya Android kwa Aprili 2018