note 8 mpya

Picha ya Samsung Galaxy Note 8 Yavuja Kabla ya Tarehe 23

Pamoja na siku za kutoka kwa simu mpya ya Samsung Galaxy Note 8 kukaribia, bado tetesi pamoja na kuvuja kwa picha za simu hizo zina endelea kutoka kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.

Hivi karibuni kupitia yule mtaalamu wa kuvujisha picha za simu kabla hazija toka, Evan Blass ametoa picha ambazo inasemekana kabisa kuwa ndio picha za simu hiyo mpya ya Note 8

Soma hapa habari zaidi kuhusu simu hii mpya ambayo inatarajiwa kutoka rasmi tarehe 23 mwezi huu wa nane huko nchini marekani.

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya Video.

Chanzo : The Verge

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Upasuaji
Video: Afanyiwa Upasuaji wa Kichwa Huku Akipiga Gitaa
Next Post
mozilla

Mozilla Yaleta Njia Mpya ya Kutuma na Kupokea Mafaili