TECNO kwa Kushirikiana na Tigo Yazindua TECNO Spark 4 Tanzania

Hatimaye simu mpya ya Spark 4 yazinduliwa rasmi hapa nchini Tanzania
TECNO kwa Kushirikiana na Tigo Yazindua TECNO Spark 4 Tanzania TECNO kwa Kushirikiana na Tigo Yazindua TECNO Spark 4 Tanzania

Hatimaye kampuni ya TECNO imewapa tena wateja wake nafasi ya kufurahia ladha mpya ya simu janja na hii kutokana na ujio wa simu mpya ya TECNO Spark 4 yenye sifa malukuki na kwa bei nzuri.

TECNO kwa Kushirikiana na Tigo Yazindua TECNO Spark 4 Tanzania

Akizungumza na vyombo vya habari wakati wa uzinduzi wa TECNO Spark 4 uliofanyika katika duka jipya la ‘TECNO Smart Hub Kariakoo’ manager wa masoko wa kampuni ya TECNO, Bwana William Motta alisema, “teknolojia ya AI iliyopo ndani ya TECNO SPARK 4 imebeba uwezo mkubwa wenye kuzipa support kamera tatu za nyuma za TECNO Spark 4 kwa picha nzuri na videos zenye ubora.

Advertisement

TECNO kwa Kushirikiana na Tigo Yazindua TECNO Spark 4 Tanzania

William Motta amevieleza vyombo vya habari kuwa TECNO Spark 4 imekuja na sifa zifuatazo Kasi ya mtandao wa 4G, Kamera tatu za nyuma, GB 32 za memory na kioo cha nchi 6.52 super full-view.

Wakati huo, Mkuu wa idara ya kitengo cha bidhaa wa kampuni ya TIGO Mkumbo Mnyonga alisema, “pindi unaponunua simu ya TECNO Spark 4 basi hapo hapo utazawadiwa na ofay a GB 18 kutoka tigo.uzinduzi wa simu hii mpya unaenda sambamba na ofa ya GB 18 kutoka tigo”.

TECNO kwa Kushirikiana na Tigo Yazindua TECNO Spark 4 Tanzania

Mkumbo Mnyonga “lengo letu ni kuhakikisha jamii ya kitanzania inahamia katika mfumo mpya wa kijital. Na hiyo ndio sababu ya kampuni ya TIGO kushirikiana na TECNO ili kulifikia dhumuni lakuongeza wimbi la watumiaji smartphone nchini”.

TECNO kwa Kushirikiana na Tigo Yazindua TECNO Spark 4 Tanzania

TECNO Spark 4 inapatikana katika maduka yote ya TECNO na TIGO nchini na hizi ni baadhi ya sifa za TECNO Spark 4: Megapixel 13+8+2 nyuma, GB 32 ROM+ GB 2 RAM, 4000 battery, kioo cha nchi 6.52 na warranty ya miezi 13. Kwa maelezo zaidi tembelea Tovuti ya TECNO Hapa.

TECNO kwa Kushirikiana na Tigo Yazindua TECNO Spark 4 Tanzania

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use