Code za Siri za Android Kwaajili ya Simu za Samsung

Zifahamu hapa hizi ndio menyu za siri za simu za Samsung (Android)
code za siri za Samsung (Android) code za siri za Samsung (Android)

Simu za Android ni moja ya simu ambazo zina mambo mengi sana pengine kuliko simu janja za mfumo wowote ule, kwa kutumia code za siri unaweza kufungua sehemu nyingine muhimu kwenye simu yako ya Android.

Kwa kuanza leo tunakuletea Code za siri za simu za Android za Samsung, Code hizi zinaweza kukusaidia kufungua menu za siri ambazo zinaweza kukusaidia kufanya mambo mbalimbali kwa urahisi na haraka. Basi bila kupotesa muda twende tukangalie code hizo, kumbuka code hizi zinaweza zisifanye kazi zote ila lazima kuna ambazo zitafanya kazi kwenye simu yako ya Samsung.

Code za Siri za Simu za Samsung (Android)

Advertisement

 • Kuangalia IMEI Namba – *#06#
 • Kuangalia Mfumo wa Simu – *#1234#
 • Kuangalia Matatizo ya Simu na Menu Kuu – #*#4636#*#*
 • Ku-reset simu – *#*#7780#*#*
 • Kuonyesha Code za Simu – *2767*4387264636#
 • Majaribio ya GPS – *#*#1472365#*#*
 • Kuangalia SW na HW – *#12580*369#
 • Address ya Bluetooth – *#232337#
 • Kuangalia ADC – *#0228#
 • Uchaguzi wa RF Band – *#2263#
 • Majaribio ya Bluetooth – *#232331#
 • Majaribio ya WLAN – *#232339#
 • Majaribio ya Vibration – *#0842#
 • Kuangalia WLAN Mac Address –  *#232338#
 • Majaribio ya Sauti – *#0673#
 • Majaribio ya Pamoja – *#0*#
 • Majaribio ya USB – *#872564#
 • Mpangilio wa GCF – *#4238378#
 • Majaribio ya Clock – *#0782#
 • Majaribio Audio Loging – *#0283#
 • Majaribio ya LBS – *#3214789650#
 • Mpangilio mkuu wa GPS – *#1575#
 • Majaribio ya Proximity Sensor – *#0588#
 • Mfumo wa kamera – *#34971539#
 • Majaribio ya Light Sensor – *#0589#
 • WLAN Engineering Mode – *#526#
 • Debug Dump Menu – *#746#
 • NAND Flash S/N – *#03#
 • Kuangalia Mfumo – *#44336#
 • Mpangilio wa mfumo wa System Dump – *#9900#
 • Mpangilio wa SD Card – *#273283*255*663282*#
 • Mpangilio wa utumiaji wa data – *#3282*727336*#
 • Mpangilio wa mfumo wa TSP / TSK  – *#2663#
 • Menyu ya Camera Firmware – *#7412365# and *#*#34971539#*#*
 • Mpangilio wa WLAN Engineering – *#528#
 • Majaribio ya Melody – *#0289#
 • Menyu ya OTA – *#8736364#
 • Kumbukumbu za Majaribio – *#07#
 • Mpangilio wa HSDPA/HSUPA – *#301279#
 • Menyu ya Majaribio ya Haraka – *#7353#
 • Mpangilio wa Lock – *#7465625#
 • Mpangilio wa majibu ya automatic – *#272886#
 • Updating……

Na hizo ndio baadhi ya code za siri ambazo unaweza kuzitumia kuweza kufungua menyu ya siri kwenye simu yako ya android ya aina ya Samsung. Kumbuka sio kila kodi zitakuwa zinafanya kazi kwenye simu yako. Pia kumbuka menyu hizi zimewekwa siri kwa sababu ya kuwa ni muhimu na zinauwezo wa kuharibu au kuonyesha data za siri zinazoweza kusababisha mtu au wewe mwenyewe kuaribu simu yako, Hivyo ni muhimu sana kuwa makini kwani hatuta husika pale utakapo haribu simu yako.

Kama wewe ni mtumiaji wa simu nyingine kama Tecno na nyingine kama hizo endelea kutembelea Tanzania Tech tutakuletea code za siri za simu hizo hivi karibuni.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use