Jinsi ya Kubadilisha Video Yoyote Kuwa Video ya Katuni

Kupitia njia hii utaweza kutengeneza katuni kutoka kwenye video zako
Jinsi ya Kubadilisha Video Yoyote Kuwa Video ya Katuni Jinsi ya Kubadilisha Video Yoyote Kuwa Video ya Katuni

Katika hali ya kawaida ni wazi kuwa kuna wakati unahitaji kuedt video zako kwa namna ya kipekee na kufanya ziwe tofauti na video za watu wengine. Kuliona hili leo Tanzania tech tumekuletea njia mpya ambayo itakusaidia kubadilisha video yoyote kuwa na muonekano kama video ya katuni.

Njia hii inafanya kazi vizuri sana, lakini kwa sasa unaweza kubadilisha video fupi kuwa na muonekano wa katuni. Kitu cha muhimu hakikisha simu yako au kompyuta inayo Internet kisha moja kwa moja tembelea link hapo chini na moja kwa moja chagua sehemu ya video na hakikisha video yako haizidi MB 30.

Advertisement

Jinsi ya Kubadilisha Video Yoyote Kuwa Video ya Katuni

Baada ya kuweka video yako subiri baada ya muda mfupi moja kwa moja utaweza kudownload video yako ikiwa na muonekano wa katunia. Njia hii inafanyakazi kwenye video nyingi ila kuna baadhi ya video inaweza isifanye kazi kwa usahihi kwa asilimia 100. Unaweza kujaribu video yako hapo chini.

Badilisha Video Yako Hapa

Kama unataka kujaribu kubadilisha picha yoyote kuwa na muonekano wa katuni, unaweza kusoma hapa kujua hatua kwa hatua jinsi ya kufanya hivyo.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use