Jinsi ya Kupokea SMS Kwenye Barua Pepe (Email)

Kupitia njia hii utaweza kupokea SMS mpya zote kupitia kwenye email yako
Jinsi ya Kupokea SMS Kwenye Barua Pepe (Email) Jinsi ya Kupokea SMS Kwenye Barua Pepe (Email)

Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia ni wazi kuwa kuna wakati unatamani kurahisha mambo kwa kuunganisha huduma moja na nyingine. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia kupokea SMS zako mpya kupitia email yako au barua pepe.

Bila kuendelea kupoteza muda, moja kwa moja twende nika kuonyeshe hatua kwa hatua jinsi ambavyo unaweza kupokea SMS zote mpya kupitia barua pepe.

Advertisement

Mpaka hapo natumaini umeweza kupokea SMS zako mpya kupitia barua pepe, kama unataka kujua apps zilizotajwa kwenye video hapo juu unaweza kudownload kupitia link hapo chini.

Download App Hiyo Hapa

Kama unataka kuendelea kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa kujua jinsi mtu anavyoweza kusoma SMS zako bila wewe kujua, ikiwa pamoja na jinsi ya kujilinda na hilo. Kwa maujanja zaidi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech.

1 comments
  1. Nataka nisaidie kujua jinsi gani ya kufungua wifi binafsi kama zile za kwenye magari na hata makampuni so mimi nataka nifungue yangu binafsi sasa nisaidie hatua zake na vitu muhimu vinavyohitajika na cost kias gani maximum yak nisaidie kama hutajali ndugu

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use