Video: Angalia Hapa Uzinduzi wa Galaxy Note 10 Ndani ya Dakika 7

Haya ndio yote yaliyojiri kwenye mkutano wa uzinduzi wa Galaxy Note 10
Video: Angalia Hapa Uzinduzi wa Galaxy Note 10 Ndani ya Dakika 7 Video: Angalia Hapa Uzinduzi wa Galaxy Note 10 Ndani ya Dakika 7

Kama hukufanikiwa kuangalia uzinduzi wa simu za Galaxy Note 10 na Note 10+ basi usijali kwani unaweza kuangalia hapa yote ya muhimu yaliyojiri kwenye mkutano huo ndani ya dakika saba. Kama kwa namna yoyote unataka kujua sifa za Galaxy Note 10 na sifa za Galaxy Note 10+ basi unaweza kusoma kupitia hapa.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *