Kampuni ya Apple hivi leo inatangaza uzinduzi wa simu mpya za iPhone 17, iPhone 17 Air, iPhone 17 Pro, na iPhone 17 Pro Max. Pia tegemea kuona matoleo mapya ya Apple Watch Series 11, Watch Ultra 3, pamoja na Watch SE. Bila kusahau toleo jipya la AirPods 3 Pro.