Angalia Hapa Uzinduzi Rasmi wa Bidhaa Mpya za Apple Leo

Angalia Hapa Uzinduzi Rasmi wa Bidhaa Mpya za Apple Leo Angalia Hapa Uzinduzi Rasmi wa Bidhaa Mpya za Apple Leo

Angalia Hapa uzinduzi wa bidhaa za apple, inasemekana kutakua na uzinduzi wa iPhone mpya pamoja na iPad, hapa utangalia live uzinduzi huo ambao utafanyika huko Cupertino, California office saa 1:00 p.m. kwa saa za uko marekani.

Uzinduzi huo unaonyeshwa rasmi kupitia website ya apple lakini kwa wale wanao tumia tu vifaa vya Apple yani iPhone, iPad, na Mac na hata pia wale wenye iPod. Kama wewe unatumia vifaa vya apple unaweza kuangali event hiyo rasmi hapa

Advertisement

Bofya hapa kuangalia Live Uzinduzi Rasmi wa Vifaa vya Apple 

Ila kwa wale wanaotaka kuangalia uzinduzi huu kupitia Tanzania Tech Bonyeza video hapo juu ya uzinduzi huo rasmi live kabisa kutoka Cupertino, California.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *