Hii Ndiyo Simu Mpya ya HTC 10 1

Hii Ndiyo Simu Mpya ya HTC 10

Kampuni ya htc imetangaza kuachia simu yake mpya ya htc 10 hapo leo saa 3:00pm kwa saa za afrika mashariki baadhi ya watu wamesha sema kuwa simu hiyo itakuja na possessor ya Snapdragon 820 ikiwa na RAM kubwa ya 4GB pia mitandao mbalimbali duniani imeonekana ikiandika habari mbalimbali zinazo husu jinsi simu hiyo itakavyokua pamoja na sifa zake.

Leo tanzania tech tumepata video ya tangazo la simu hiyo iliyopangwa kuachiwa siku ya uzinduzi wa simu hiyo tarehe 12 yaani siku ya leo ikiwa ni masaa machache yamebaki tutawaletea live matangazo ya moja kwa moja wakati simu hiyo ikizinduliwa kwa mara ya kwanza.

Previous Post
laptop
Jinsi ya Kujua ni Laptop Gani ya Kununua Mwaka 2018
Next Post
Jinsi ya Kutumia Programu Mbili kwa Wakati Mmoja Kwenye Kompyuta 2

Jinsi ya Kutumia Programu Mbili kwa Wakati Mmoja Kwenye Kompyuta