Angalia Hapa Mubashara Kabisa Uzinduzi wa Samsung Galaxy S9

Angalia uzinduzi wa simu mpya ya Samsung Galaxy S9
Angalia Hapa Mubashara Kabisa Uzinduzi wa Samsung Galaxy S9 Angalia Hapa Mubashara Kabisa Uzinduzi wa Samsung Galaxy S9

Ule muda wa uzinduzi wa simu mpya ya Samsung Galaxy S9 ndio umefika, Jumuika nasi tukikuletea matangazo ya moja kwa moja ya uzinduzi wa simu hiyo ambayo yanafanyika kutoka nchini Barcelona kwenye mkutano wa MWC 2018 au Mobile World Congress. Angalia Tamasha la uzinduzi kwa kubofya hapo chini.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *