Apps Nzuri za Kuongeza Ulinzi kwenye Simu Yako ya Android 1

Apps Nzuri za Kuongeza Ulinzi kwenye Simu Yako ya Android

Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Android basi ni wazi unajua kuwa ulinzi ni kitu cha muhimu sana kwenye simu yako, kwa bahati mbaya ulinzi uliopo kwenye simu za Android sio mzuri kwa asilimia 100 ndio maana unahitaji apps nzuri za kuweza kusaidia kuongeza ulinzi kwenye simu yako.

Kupitia makala hii tutaenda kuangalia apps nzuri ambazo unaweza kutumia kwenye simu yako ya Android, apps hizi zitaongeza ulinzi kwenye simu yako kwa namna ya kipekee na kufanya simu yako kuwa salama kabisa kulingana na eneo ulilopo.

Apps hizi zote zinapatikana kwenye soko la Play Store na zote unaweza kuzipakua kupitia ukurasa huu, basi bila kupoteza muda twende tukangalie app hizi.

Apps Nzuri za Kuongeza Ulinzi kwenye Simu Yako ya Android 2
The app was not found in the store. :-(
Apps Nzuri za Kuongeza Ulinzi kwenye Simu Yako ya Android 3
The app was not found in the store. :-(
Don't Touch My Phone
Price: Free
Apps Nzuri za Kuongeza Ulinzi kwenye Simu Yako ya Android 4
The app was not found in the store. :-(
Apps Nzuri za Kuongeza Ulinzi kwenye Simu Yako ya Android 5
The app was not found in the store. :-(

Bonus

Apps Nzuri za Kuongeza Ulinzi kwenye Simu Yako ya Android 6
The app was not found in the store. :-(

Na hizo ndio apps nzuri nilizo kuandalia kwa siku ya leo, kumbuka unaweza kuangalia apps nyingine nzuri kupitia Hapa na pia kama unapenda kujua apps nzuri zaidi unaweza kusubscribe kwenye channel yetu hapa na utakuwa unapataka video zenye kuelezea kuhusu apps mpya za Android na jinsi ya kutumia kwenye simu yako.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Anza Biashara ya Udalali Mtandaoni Kwa Mtaji wa Tsh 70,000 7
Anza Biashara ya Udalali Mtandaoni Kwa Mtaji wa Tsh 70,000
Next Post
Galaxy A70s Simu ya Kwanza ya Samsung Kuwa na Kamera ya MP 64 8

Galaxy A70s Simu ya Kwanza ya Samsung Kuwa na Kamera ya MP 64