Simu Bora Zinazo Tarajiwa Kutoka Mwanzo wa Mwaka Huu 2017

Hizi ndio simu zinazotarajiwa kutoka ndani ya mwanzoni mwa mwaka huu
Simu Mwaka 2017 Simu Mwaka 2017

Mpaka sasa tumesha ona simu inayoshwa kwa sabuni, simu inayo endeshwa bila kuigusa pamoja nyingine nyingi ambazo hata bado hatuja ziandika hapa Tanzania Tech, yote hayo yakiwa yanadhihirisha na kuonyesha njia tunayo elekea kwa upande mzima wa teknolojia ya simu za mkononi. Ndio maana leo Tanzania Tech tunakuletea list ya simu ambazo zinatarajiwa kutoka mwanzoni mwa mwaka huu wa 2017, yote haya ikiwa ni kukufahamisha na kukuhabarisha nini kinafuata kwa upande mzima wa teknolojia ya simu za mkononi.

HTC U Ultra

Mambo hayakuwa mazuri kwa kampuni ya HTC mwaka 2016, pamoja na nguvu kubwa iliyowekwa na kampuni hiyo kuhakikisha inafanikiwa lakini bado ilikua ni ngumu. Mwaka huu kampuni ya HTC inakuja na HTC U Ultra, simu hii inategemewa kutoka mwanzoni mwa mwaka huu wakati tukisubiria HTC 11 inayotarajiwa kutoka baadae mwaka huu. HTC U Ultra inategemewa kuwa mkombozi wa kampuni hiyo kwa mwanzo wa mwaka huu lakini only time will tel..!

Advertisement

Sifa Zinazotegemewa HTC U Ultra

  • 5.7-inch Super LCD5 display with Quad HD resolution
  • 2.15 GHz quad-core Qualcomm Snapdragon 821 processor
  • 4GB of RAM
  • 64/128GB of on-board storage, microSD card expansion up to 2TB
  • 12 MP HTC Ultrapixel 2 camera, 16MP front camera
  • Non-removable 3,000 mAh battery
  • Android 7.0 Nougat with Sense
  • 162.41 x 79.79 x 3.6-7.99mm, 170g
7 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use