Simu Mwaka 2017

Simu Bora Zinazo Tarajiwa Kutoka Mwanzo wa Mwaka Huu 2017

Samsung Galaxy S8

Samsung Galaxy S8 ni moja kati ya simu zinazosubiriwa sana kwenye list hii simu hii inatarajiwa kutoka mwezi wa tatu na sio mwezi wa pili kama ilivyo kawaida ya samsung, pia kampuni ya samsung imetangaza kuwa simu hiyo haitazinduliwa kwenye mkutano wa CES bali watatoa taarifa pale wakati utakapo fika. Samsung imeamua kuchukua hatua ya kuhakikisha usalama kwenye simu zake baada ya kutoa ripoti ya chanzo cha kulipuka kwa simu ya Galaxy Note 7.

Sifa Zinazotegemewa Galaxy S8

  • Standard model: 5.7-inch AMOLED QHD, curved
  • Phablet model: 6.2-inch AMOLED (possibly 4K), curved
  • Qualcomm Snapdragon 835 or Exynos 8895, depending on market
  • RAM, Haijajulikana lakini inawezekana 4 mpaka 6GB
  • Bado haijajulikana kuhusu storage, microSD na external UFS
  • 16MP/8MP dual camera setup
  • Rear mounted fingerprint scanner a possibility, that or an under-the-glass front scanner
  • Non-removable battery
  • Android Nougat

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
game bora
Game Bora Zinazo Tarajiwa Kutoka Ndani ya Mwaka Huu 2017
Next Post
kuhack instagram

Jinsi ya Kuzuia Mtu Kuhack Akaunti Yako ya Mtandao wa Instagram