Simu Mwaka 2017

Simu Bora Zinazo Tarajiwa Kutoka Mwanzo wa Mwaka Huu 2017

Asus Zenfone AR

ZenFone ni kampuni iliyosifika sana ilipo anza hapo mwaka 2015, baadae kampuni hiyo ilianza kuwa kimpya na sasa kampuni ya Zenfone imerudi tena na simu mpya ya Asus Zenfone ambayo ilizinduliwa rasmi kwenye mkutano wa CES wa mwaka 2017, simu hii inatarajiwa kuja na sifa zifuatazo.

Sifa Zinazotarajiwa Asus Zenfone AR

  • 5.7-inch 1440×2560 Super AMOLED
  • Qualcomm Snapdragon 821
  • 8GB of RAM
  • 32/64/128/256 GB of on-board storage, microSD card expansion up to 256GB
  • 23 MP rear camera, 8MP front camera, extra cameras and sensors included for Tango experience
  • Non-removable 3,300mAh battery
  • Android 7.0 Nougat
  • 158.7 x 77.7 x 9 mm, 170g

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
game bora
Game Bora Zinazo Tarajiwa Kutoka Ndani ya Mwaka Huu 2017
Next Post
kuhack instagram

Jinsi ya Kuzuia Mtu Kuhack Akaunti Yako ya Mtandao wa Instagram