Simu Mwaka 2017

Simu Bora Zinazo Tarajiwa Kutoka Mwanzo wa Mwaka Huu 2017

LG G6

LG G6 ni simu ambayo imekuwa ikisubiriwa sana na wapenzi wa LG simu hii inakuja na maboresho zaidi ya yale yanayopatikana kwenye simu ya LG G5 ya mwaka jana. Simu hii inategemewa kutoka mwanzoni mwa mwaka huu hiyo kwa wapenzi wote wa LG kaa tayari kwa ulimwengu mpya wa LG G6.

Sifa Zinazotarajiwa LG G6

  • 5.7-inch QHD display with 18:9 ratio
  • Qualcomm Snapdragon 835 or 821
  • 6GB RAM
  • 64GB likely, microSD expected
  • dual camera setup, few details currently rumored
  • Rear mounted fingerprint scanner
  • Non-removable battery
  • Android Nougat

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
game bora
Game Bora Zinazo Tarajiwa Kutoka Ndani ya Mwaka Huu 2017
Next Post
kuhack instagram

Jinsi ya Kuzuia Mtu Kuhack Akaunti Yako ya Mtandao wa Instagram