Pamoja na kuwa kwa sasa kila kitu kinaweza kufanyika kwenye simu lakini ni wazi kuwa bado kompyuta zinazo nafasi yake kwa kiasi chake. Kuliona hili leo nimekuletea makala hii fupi ya shortcuts…
Usinunue (Smartphone) Simu Ambazo Hazina Sifa Hizi
Linapokuja swala zima la kununua smartphone au simu ni wazi kuwa unahitaji simu ambayo utaweza kutumia hata baada ya miaka mitatu mbeleni, baadhi ya watu hufanya makosa ya kununua simu ambazo…
Kampuni ya teknolojia ya Anthropic, hivi karibuni imezindua rasmi modeli yake mpya ya Artificial Intelligence (AI) ijulikanayo kama Claude Sonnet 4.5. Kampuni inasema mfumo huu unawakilisha…
Kampuni ya Xiaomi kupitia chapa yeke ya Redmi imezindua laptop mbili mpya za Redmi Book 14 na Redmi Book 16 (2025), zote zikiwa zinakuja na vipengele vya kisasa vya utendaji na muundo wa…
Niwazi kuwa AI inaendelea kuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku, na kadri muda unavyo kwenda ni wazi kuwa ni lazima kujifunza kutumia AI ili kuendana na kasi ya teknolojia kwenye ulimwengu…