MKUTANO CES 2017

Matukio Yote Yaliyojiri Jana Kwenye Mkutano wa CES 2017

Jana kulifanyika ufunguzi wa mkutano wa teknolojia wa CES 2017 angalia hapa matukio yote na matangazo yote ya mkutano huo kwa siku ya jana makampuni ya LG Electronics, Panasonic, Samsung, Sony, Intel na mengine yalifanya uzinduzi wa bidhaa mbalimbali.

Ili kujua zaidi kuhusu mkutano huu wa CES 2017 ambao utaendelea mpaka mwishoni mwezi wa pili enedelea kutembelea sehemu maalumu ya mkutano kwa kubofya kwenye menu hapo juu. Unaweza kupata habari kwa urahisi kupitia App yetu ya Tanzania Tech inayopatikana Play Store.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Sony Bravia OLED
Kampuni ya Sony Yatangaza TV Mpya ya 4K Bravia OLED
Next Post
Samsung-Galaxy-S8 Mpya

Hii Ndio Picha Iliyovuja ya Simu Mpya ya Samsung Galaxy S8