Angalia Uzinduzi wa Samsung Galaxy S20 Ndani ya DK 6

Angalia hapa uzinduzi rasmi wa Galaxy S20 na Galaxy Z Flip
Angalia Uzinduzi wa Samsung Galaxy S20 Ndani ya DK 6 Angalia Uzinduzi wa Samsung Galaxy S20 Ndani ya DK 6

Kampuni ya Samsung hivi leo inazindua simu zake mpya za Galaxy S20 na Galaxy Z Flip ikiwa pamoja na bidhaa zake mbalimbali. Moja kwa moja kutoka San Francisco nchini marekani tunakuletea uzinduzi huu mbashara kabisa. Angalia hapa uzinduzi rasmi wa Simu mpya za Samsung.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
1 comments
  1. Naomba kufahamu je vitambulisho vya taifa vinakubalika na Admob kwenye verification naomba msaada wako tafadhali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *