Angalia Uzinduzi wa Simu Mpya za Samsung Galaxy Note 20 1

Angalia Uzinduzi wa Simu Mpya za Samsung Galaxy Note 20

Hayawi sasa yamekuwa, kampuni ya Samsung hivi leo inaenda kuzindua simu zake mpya za Samsung Galaxy Note 20, ikiwa pamoja na Tablet zake mpya za Galaxy Tab S7, Galaxy Tab S7+ na Galaxy Z Fold 2. Angalia mubashara uzinduzi huo kupitia hapo chini.

Mara baada ya uzinduzi sasa unaweza kuangalia uzinduzi mzima wa Galaxy Note 20 na Note 20 Ultra kwa muda mfupi chini ya dakika 9.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Tovuti Inayotengeneza $100 Kila Mwezi (Bila Kufanya Chochote) 2
Tovuti Inayotengeneza $100 Kila Mwezi (Bila Kufanya Chochote)
Next Post
Zifahamu Simu Mpya za Samsung Galaxy Note 20 na Note 20 Ultra 3

Zifahamu Simu Mpya za Samsung Galaxy Note 20 na Note 20 Ultra