Tengeneza Website ya Muziki kwa Kutumia Simu Ndani ya Dakika 5

Njia ya kutengeneza website kwa kutumia simu yako ya mkononi
Tengeneza Website ya Muziki kwa Kutumia Simu Ndani ya Dakika 5 Tengeneza Website ya Muziki kwa Kutumia Simu Ndani ya Dakika 5

Kama kwa muda mrefu ulikuwa unahitaji kuwa na website yako ili uweze kutengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia website hiyo basi hii ni makala kwa ajili yako. Kupitia makala hii tutaenda kujifunza jinsi ya kutengeneza website ya muziki ndani ya dakika tano kwa kutumia simu yako ya mkononi ya Android.

Kumbuka unahitaji kuwa na baadhi ya vitu vya msingi kuweza kukamilisha kutengeneza website hii bila kupata tatizo lolote. Unaweza kusoma maelezo hapo chini ili kujua mahitaji yote kamili. Basi bila kuendelea kupoteza muda wako twende tukangalie njia hii.

Advertisement

1. Download File la MUZIKI Hapa

2. Tovuti ya Infinityfree Hapa

3. Tembelea tovuti ya Google kupata YouTube API

4. Website Niliyo tengeneza kwa kutumia Njia hii – HAPA

Kama kwa namna yoyote kuna mahali umekwama unaweza kuuliza kupitia sehemu ya maoni hapo chini pia usisahau kusubscribe kwenye channel yetu HAPA kuweza kujua sehemu ya pili ya video hii. Kama unataka kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa kujua jinsi ya kutengeneza website ya bure pamoja na kupata domain ya bure.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
20 comments
  1. Nimeshindwa jinsi ya kupest ihi Apo AIzaSyBS6HRyvuhRJGUL-D8NKURyV14SPpMKBLM

  2. Mm nimefanya hatua zote hadi kutengeneza API lakin kila nikiweka nashindwa naomba msaada wenu.. AIzaSyDeo1tbpOXlXg9yiov13JylYtwkm7v-oH4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *