Njia Mpya Kabisa za Kutumia Programu ya WhatsApp 2017

Hizi ndio njia mpya za kutumia programu ya whatsapp mwaka 2017
Njia Mpya Kabisa za Kutumia Programu ya WhatsApp 2017 Njia Mpya Kabisa za Kutumia Programu ya WhatsApp 2017

Hivi karibuni programu ya WhatsApp imeongezewa maboresho mengi sana ambayo yamefanya programu hiyo kuwa na njia nyingi mpya za kutumia programu hiyo, zifuatazo ni baadhi tu ya njia hizo mpya za kutumia programu hiyo maarufu ya kuchat duniani.

Kurahisisha zaidi nimekuweka video hapa chini ili uweze kujifunza njia hizo mpya kwa haraka na kwa vitendo, kama utakua umekwama unaweza kuuliza swali lako kupitia Forum yetu au kwa kupitia maoni hapo chini.

Advertisement

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia unaweza kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja ya teknolojia kwa video.

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use