Jinsi ya Kutengeneza Website kwa Kutumia Smartphone (Part 2)

Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza website kwa kutumia simu
Jinsi ya Kutengeneza Website kwa Kutumia Smartphone (Part 2) Jinsi ya Kutengeneza Website kwa Kutumia Smartphone (Part 2)

Kama wewe ni msomaji wa tovuti ya Tanzania Tech najua unajua kuwa kipindi cha nyuma tulijifunza awamu ya kwanza ya jinsi ya kutengeneza tovuti ya muziki kwa kutumia smartphone. Leo tunaendelea na awamu ya pili ya video hiyo na leo nimekuletea jinsi ya kutengeneza domain ya bure pamoja na kuiweka kwenye tovuti yetu tuliyo tengeneza kwenye video iliyopita.

Kumbuka kama bado huja angalia video iliyopita unaweza kuangalia video hii kupitia hapo chini, kumbuka ni muhimu kuangalia video zote ili kujua ni mahali gani ambapo unatakiwa kuanzia.

https://www.youtube.com/watch?v=C_G4WLBSCP0

Advertisement

ANGALIA VIDEO ILIYOPITA HAPA

https://youtu.be/5l0GhN2b0Lo

5 comments
  1. Mawazo yako ni mazuri mkuu ila shida ni kuwa freenom hawana free domain wala paid domain maana nimejitahidi kujiunga lakini imedunda.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use