Jifunze Jinsi ya Kuchora Sura ya Mtu kwa Kutumia Mistari

Mto yoyote ataweza kuchora sura ya mtu vizuri ndani ya dakika chache
Jifunze Jinsi ya Kuchora Sura ya Mtu kwa Kutumia Mistari Jifunze Jinsi ya Kuchora Sura ya Mtu kwa Kutumia Mistari

Ukweli ni kwamba sio kila kipaji ni lazima uzaliwie nacho, vipaji vingine unaweza kujifunza na ukaweza kufanya vizuri kuliko hata yule aliyezaliwa nacho kitu cha msingi ni kupata mwalimu mzuri. Kuliona hilo kupitia makala hii ningependa kushare na wewe njia nzuri ya kujifunza kuchora sura ya mtu kwa kutumia mistari.

Njia hii inatumiwa na watu wengi ambao ni mahiri sana kwenye uchoraji, sasa leo naomba uchukue dakika zako chache ili uweze kujifunza kitu kipya kupitia mtandao. Njia hii ni rahisi sana guys na kama wewe ni mpenzi wa kuchora basi huu ndio wakati wako wa kuongeza ujuzi mpya.

Advertisement

Natumaini kama umeangalia video hii hadi mwisho basi sasa hivi unaweza kuchora picha ya sura ya mtu kwa urahisi kwa kutumia mistari. Kama unataka kuendelea kujifunza vitu kama hivi basi unaweza kutoa maoni yako juu ya makala hii ili tuweze kulete zaidi makala kama hizi. Kwa maujanja zaidi hakikisha unatembelea ukurasa wa maujanja ili kujifunza zaidi kwa vitendo.

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use