Jinsi ya Kurekodi Video Bora kwa Kutumia Smartphone

Mambo ya kuzingatia unapotaka kurekodi video bora kwa kutumia simu
Jinsi ya Kurekodi Video Bora kwa Kutumia Smartphone Jinsi ya Kurekodi Video Bora kwa Kutumia Smartphone

Kati ulimwengu wa sasa wa smartphone ni wazi watu wengi sana wanatumia simu kufanya mambo mengi kuliko awali, kwa sasa hata watu maarufu kama wanamuziki na watengenezaji filamu wanajaribu kutumia smartphone kurekodi video za muziki pamoja na filamu zako.

Kwa mfano kama ulikuwa hujui, video maarufu ya BloodPop kutoka kwa msanii maarufu John Legend, imerekodiwa mwanzo mwisho kwa kutumia smartphone kwa simu aina ya Google Pixel 2. Hii inaonyesha ni jinsi gani ambavyo smartphone inaweza kutumika kurekodi video bora hasa pale unapofahamu vizuri jinsi ya kutumia.

Jinsi ya Kurekodi Video Bora kwa Kutumia Smartphone

Advertisement

Sasa kupitia makala hii ningependa ujifunze hatua za muhimu ikiwa pamoja na mambo ya kuzingatia ili kusudi uweze kuchukua video bora kwa kutumia smartphone yako, Sasa najua hupendi kusoma sana hivyo basi ngoja nimkaribishe Richstar aweze kukupa muongozo kupitia video hapo chini.

Hadi hapo najua utakuwa umejifunza mambo muhimu ya kuzingatia pale unapotaka kurekodi video kwa kutumia smartphone yako. Kama unataka kujifunza zaidi kuhusu maswala haya unaweza kuendelea kutembelea tovuti ya Tanzania Tech kwani tumekuandalia mambo mazuri sana kuhusu swala zima la Graphics Design au ubunifu wa michoro kwa kutumia kompyuta.

2 comments
  1. Maoni*Kwa kweli tulip wengi tunajua kupiga na kupokea tu Simu. ila kupitia tovuti yenu nimejifunza mengi tu. hongereni.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use