Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Apps na Tovuti za Kubet Kwa Nchini Tanzania (2024)

Hizi hapa ndio baadhi ya tovuti maarufu za kubet nchini Tanzania
Apps na Tovuti za Kubet Kwa Nchini Tanzania (2024) Apps na Tovuti za Kubet Kwa Nchini Tanzania (2024)

Kwa muda sasa nimekuwa nikipata maswali mengi sana kuhusiana na topic hii ya kubet, japokuwa binafsi sijui maswala ya kubet lakini ilinibidi kufanya utafiti wa kina ambao kwa kiasi chake ulikuwa mgumu sana kutokana na kuwepo kwa tovuti nyingi sana na apps ambazo zinatoa huduma za kubet. Lakini pamoja na hayo leo nimefanikiwa kuwaletea list hii ambayo natumani itasaidia wapenzi wa kubet.

Kitu cha msingi ni kukumbuka kuwa unatakiwa kucheza kiasi unapotumia apps na tovuti hizi, na pia kumbuka kubet sio kazi hivyo hakikisha unacheza kiasi, pia kumbuka list hii haijapangwa kulingana na ubora wa tovuti hivyo tovuti zote kwenye list hii ni bora kwa namna yake. Basi baada ya kusema hayo basi twende moja kwa moja kwenye list hii ya leo.

Advertisement

Premier Bet

kubet tanzania

Kwa mujibu wa tovuti yake, Premier bet imeandikwa “Tunatoa huduma tofauti za betting ya michezo ya kandanda ili kuchangia zaidi msisimko wa mchezo unaopendwa nchini. Angalia orodha yetu ya kila siku ya michezo halisi ya kandanda kutoka kote ulimwenguni na utabiri matokeo. Bet yako yaweza kuwa ya mchezo wote, hadi muda wa mapumziko, idadi ya mabao na mengineyo. Bet mtandaoni kwa kutumia tarakilishi au utembelee mojawapo ya vituo vyetu.

Tembelea Premier Bet Hapa

MBet

kubet tanzania

Kwa mujibu wa tovuti ya M-Bet “M-BET ni kampuni iliyoingizwa chini ya sheria za Tanzania, na kupewa leseni na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Tanzania, kwa madhumuni ya kutoa kwa urahisi na kupatikana na ufikiaji rahisi na mwingiliano wa huduma za kubet kwa Simu kwa nchi nzima kupitia Mitandao ya Simu na mkoba wa Elektroniki”.

Tembelea M-Bet Hapa

SportPesa

kubet tanzania

Kwa mujibu wa tovuti ya Sportpesa, “SportPesa ni jukwaa namba moja la kubet Afrika! SportPesa inakuwezesha kutabiri na kuweka bet kwenye mechi unayoipenda.Tunatoa nafasi ya kutabiri kwa michezo ya kitaifa na kimataifa. Unaweza kuweka bet zako kwa njia ya sms kwenda 15888, au kupitia Programu ya android ya SportPesa, au mtandaoni kwenye www.sportpesa.co.tz au kupitia USSD kwa kupiga *150*87#. Unaweza kuweka bet zako ukiwa mahali popote, kabla ya filimbi ya kwanza ya mwamuzi kwa ajili ya masoko ya kabla ya mechi au kucheza moja kwa moja kwenye masoko ya kubet mubashara”.

Tembelea SportPesa Hapa

Meridianbet

kubet tanzania

Kwa mujibu wa tovuti ya Meridianbet, “Kamari ni kitendo cha kujiburudisha kwa watu wenye umri mkubwa na, hapa meridianbet.co.tz, tunataka wateja wetu wafurahie kubashiri na kucheza bahati nasibu wakiwa nasi. Tumejikita katika kutoa huduma ambayo ni ya kujitosheleza, iliyo salama, iliyo ya haki na ambayo inawajibika na kukubalika kwa jamii nzima. Hivyo, tuna aina kadhaa za masuala tuliyoyachukua ambayo tunaamini ya kuwa yote hayo yatawasaidia na kuwahakikishia wateja”.

Tembelea Tovuti ya Meridianbet Hapa

Biko Sports

kubet tanzania

Hakuna maelezo yoyote kwenye tovuti ya Biko sports yanayoelezea kuhusu tovuti hiyo. Lakini kwa kifupi kabisa bikosports ni sehemu ya kampuni ya Biko Tanzania ambayo inaendesha shughuli mbalimbali za michezo ya kubahatisha nchini Tanzania.

Tembelea Biko Sports Hapa

TBET

kubet tanzania

Kwa mujibu wa tovuti ya T-BET, “TBet inatoa huduma za kubet kwenye michezo ambayo inashikilia Ligi kuu zote za Soka ikiwa ni pamoja na ligi Bora barani Afrika, Ligi za Uropa na zile za kawaida ulimwenguni kote ili kuhakikisha wateja wetu wanaongeza furaha na msisimko kwenye kufutilia mchezo wanaopenda zaidi ikiwa pamoja na kuongeza thamani ya mchezo pamoja na malipo rahisi na makusanyo ya winnings haraka kwa wateja wetu”.

Tembelea TBET Hapa

Sokabet

kubet tanzania

Kwa mujibu wa tovuti ya sokabet, “Sokabet.co.tz hutoa huduma za kubet kwa michezo zaidi 20 tofauti. Pia Kuna chaguzi zaidi ya 4000 za kubet na zaidi ya mechi 100.000 tofauti za kubet kilasiku kwenye Sokabet.co.tz. Utapata odds nzuri zaidi na uaminifu wa asilimia 100% kutoka kwenye tovuti ya Sokabet.co.tz.

Tembelea Sokabet Hapa

PMBet

kubet tanzania

Kwenye tovuti ya PMBet hakuna maelezo yanayo onyesha kuhusu tovuti hiyo, lakini unaweza kutembelea tovuti hiyo ili kujua zaidi kuhusu odds zake pamoja na ubora wake. Tovuti hiyo inayo lugha ya kiswahili hivyo ni rahisi kutumia na kila kitu kina onekana wazi.

Tembelea PMBet Hapa

Mkekabet

kubet tanzania

Hakuna mahali popote kwenye tovuti ya mkekabet inapo elezea kuhusu tovuti hiyo, lakini bila shaka wale wataalamu wa kubet Tanzania mtakuwa mnafahamu kuhusu tovuti hii na mnaweza kutusaidia kuweza kuongeza maelezo kuhusu tovuti hii kupitia sehemu ya maoni hapo chini.

Tembelea Mkekabet Hapa

Gal Sport Betting

kubet tanzania

Pia kupitia tovuti ya galsport bettings, hakuna mahali popote kwenye tovuti ya hiyo inapoelezea kuhusu tovuti hiyo, lakini pia kwenye tovuti hii bila shaka wale wataalamu wa kubet Tanzania mtakuwa mnafahamu kuhusu tovuti hii na mnaweza kutusaidia kuweza kuongeza maelezo kuhusu tovuti hii kupitia sehemu ya maoni hapo chini.

Tembelea Gal Sport Betting Hapa

Pari Match

kubet tanzania

Pia kwenye tovuti ya Pari Match hakuna mahali popote kwenye tovuti ya hiyo inapoelezea kuhusu tovuti hiyo, lakini pia kwenye tovuti hii bila shaka wale wataalamu wa kubet Tanzania mtakuwa mnafahamu kuhusu tovuti hii na mnaweza kutusaidia kuweza kuongeza maelezo kuhusu tovuti hii kupitia sehemu ya maoni hapo chini. Kumbuka mimi sio mtaalamu wa kubet ndio maana naomba msaada kutoka kwenu wasomaji wetu, natanguliza shukrani.

Tembelea Pari Match Hapa

betPawa

kubet tanzania

Kwa mujibu wa tovuti ya betpawa, “betPawa.co.tz imepewa leseni na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Tanzania. Leseni namba 00828 lengo la betPawa ni kuwa biashara bora na kubwa zaidi ya michezo ya kubahatisha mtandaoni nchini Tanzania. betPawa inatoa msaada kwa mteja na unapatikana kila wakati, masaa 24 kwa siku, na bets zinaweza kuwekwa wakati wowote kwa kutumia kifaa kilichounganishwa na mtandao: PC, kompyuta ndogo, simu janja,na tablet”.

Tembelea betPawa Hapa

Supabets

kubet tanzania

Pia kupitia tovuti ya Supabets, hakuna mahali popote kwenye tovuti ya hiyo inapoelezea kuhusu tovuti hiyo, lakini pia kwenye tovuti hii bila shaka wale wataalamu wa kubet Tanzania mtakuwa mnafahamu kuhusu tovuti hii na mnaweza kutusaidia kuweza kuongeza maelezo kuhusu tovuti hii kupitia sehemu ya maoni hapo chini.

Tembelea Supabets Hapa

Betika

kubet tanzania

Betika ni tovuti nyingine nzuri ya kubeti kwa hapa nchini Tanzania, tovuti hii haina maelezo ya kuhusu tovuti hii, ila kwa muonekano unaweza kubeti kupitia michezo mbalimbali kama vile michezo ya mpira wa miguu, ikiwa pamoja na michezo mingine mbalimbali.

Tembelea Betika Hapa

Princess bet

kubet tanzania

Princess bet ni tovuti nyingine ya kubeti hapa nchini Tanzania, kwa mujibu wa ukurasa wake wa kuhusu sisi Princess bet imeandikwa “Dhamira yetu ni kuwapa wachezaji wetu wageni uzoefu wa kukumbuka wa michezo ya kubahatisha katika mazingira salama, na yaliyodhibitiwa. Kaa nyumbani na PC au cheza ukiwa kwenye kompyuta yako au simu janja – michezo yote ni rafiki kwa simu.

Tembelea Princess bet Hapa

Win Princess

kubet tanzania

Tovuti nyingine ya kubet kwa hapa Tanzania ni WinPrincess hii ni tovuti ambayo pia itakupa uwezo wa kubeti kupitia mitandao yote ya simu ikiwa pamoja na kupitia kwenye tovuti yake. Kwa mujibu wa ukurasa wake wa “kuhusu sisi”, WinPrincess iko hapa kukupa huduma za kubashiri kwa bei ya juu ukilinganisha na nyingine yoyote. Mifumo yetu ya kubashiri hukuruhusu kutabiri na kuweka dau kwenye michezo yako uipendayo ya ndani na ya kimataifa.

Tembelea Win Princess Hapa

Wasafibet

Apps na Tovuti za Kubet Kwa Nchini Tanzania (2024)

Kwa mujibu wa Wasafibet, Wasafibet ni tovuti ya kubet Tanzania inayoukupa uwezekano bora zaidi wa kushinda madau zaidi na kwa haraka zaidi, App ya Wasafibet app inakuja na uwezo mkubwa na kulingana na Size yake ndogo ya MB 2, kila mtu ataweza kubet kwenye michezo mbalimbali kama vile kasino, jackpot, pamoja na michezo mingine ya kubet. Wasafibet ina amana za papo hapo na ni rahisi kutoa pesa.

Tembelea Wasafibet Hapa

Betway

Apps na Tovuti za Kubet Kwa Nchini Tanzania (2024)

Kwa mujibu wa tovuti ya Betway, Betway inakupa nafasi ya kubashiri michezo mikubwa Duniani kutoka kwenye simu au kompyuta popote, wakati wowote. Kwa kuongozea, App ya betway inakuruhusu kuweka na kutoa pesa kwa haraka ili kuhakikisha unafurahia kubashiri popote bila ukomo. Faida ya App ya Betway ni pamoja na Muundo rahisi utakaokuruhusu kuona michezo iliyo live na inayofuata na kuweka bashiri nyingi kwa urahisi na haraka.

App imeboreshwa kuhakikisha kuwa unapata burudani zaidi na Betway wakati unatumia kiwango kidogo cha data. Ujumbe utakaokuruhusu kufuatilia michezo iliyo live na inayofuata.

Tembelea Betway Hapa

List inaendelea…..

Na hizo ndio baadhi ya tovuti ambazo ni bora kwa ajili ya kubet kwa hapa nchini Tanzania, kumbuka hizi ni baadhi tu ya tovuti zipo tovuti nyingi sana na kama unadhani kuna tovuti ambayo nimesahau unaweza kunikumbusha kupitia sehemu ya maoni hapo chini. Pia usisahau kutoa maoni yako kuhusu tovuti hizo hapo juu, nitashukuru sana.

Kama unataka kujua tovuti nyingine bora, unaweza kusoma hapa kujua tovuti zinazoweza kukulipa pesa kwa kuweka video kama ilivyo mtandao wa YouTube hapa. Soma hapo kujua tovuti hizo. Kwa makala nyingine kama hizi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech kila siku.

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use