Angalia Kama Simu Yako Inayo Teknolojia ya Kuzuia Maji 1

Angalia Kama Simu Yako Inayo Teknolojia ya Kuzuia Maji

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao siku za karibuni wamenunua simu mpya au kama unataka kununua simu mpya au hata kama unayo simu ambayo unataka kujua kama ina uwezo wa kuingiza maji basi njia hii itakusaidia sana.

Tofauti na majaribio ya kuingiza simu yako kwenye maji, njia hii haitaji wewe kuingiza simu yako kwenye maji bali unahitajika kufuata hatua rahisi hapo chini, hakikisha una angalia video yote hapo chini kujua kama simu yako ina teknolojia ya kuzuia maji maarufu kama water resistant.

Download App Hapa

Kwa kufuata hatua zote hapo juu utakuwa umeweza kujua kama simu yako inayo teknolojia ya kuzuia maji kuingia kwenye simu yako. Kama unataka kujifunza zaidi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech kila siku, pia unaweza kutembelea channel yetu kupitia YouTube hapa ili kujifunza kwa vitendo.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Apps na Tovuti za Kubet Kwa Nchini Tanzania (2026) 2
Apps na Tovuti za Kubet Kwa Nchini Tanzania (2026)
Next Post
Sunday Movie #32 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili 3

Sunday Movie #32 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili