Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jinsi ya Kufanya Meseji ya WhatsApp Ijitume Yenyewe Baadae

Sasa utoweza kusahau kuwatakia rafiki zako heri ya kuzaliwa
Jinsi ya Kufanya Meseji ya WhatsApp Ijitume Yenyewe Baadae Jinsi ya Kufanya Meseji ya WhatsApp Ijitume Yenyewe Baadae

Kuna wakati unakuta umesahau kumtumia mtu meseji muhimu, inawezekana ni kumkumbusha mtu kitu chochote au hata kumtakia mtu heri ya siku ya kuzaliwa na vitu kama hivyo. Kuliona hilo leo ninakuletea maujanja jinsi ya kufanya Meseji ya WhatsApp iweze kujituma yenyewe kwa muda maalum ulio panga wewe.

Kwa kuanza unatakiwa kuwa na vitu mbambali kwanza nilazima uwe na simu ya Android na pia ni lazima uwe na Internet kwenye simu yako angalau MB 10. Njia hii haitumii internet bali tunahitaji internet kuweza kupakua programu maalum kupitia soko la Play Store, basi kama unayo mahitaji yote hayo basi twende tukanze kujifunza hatua kwa hatua.

Advertisement

Unaweza pakua app ya Scheduler for WhatsApp kwa kubofya hapo chini, natumani maujanja haya yanaweza kukusaidia. Kama kuna mahali umekwama au kama unataka toleo zima la App hii ambayo ipo cracked unaweza kuandika hapo chini na nitapandisha link hapa.

Scheduler for WhatsApp

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use