Jinsi ya Kupata FREE Hosting Mwaka Mzima (Bure 100%)

Utaweza kupata hadi GB 60 Bure bila kulipia gharama zozote
Jinsi ya Kupata FREE Hosting Mwaka Mzima (Bure 100%) Jinsi ya Kupata FREE Hosting Mwaka Mzima (Bure 100%)

Habari na karibu kwenye makala nyingine, siku ya leo nina habari njema kwako wewe uliyekuwa unataka kuanzisha biashara mtandaoni. Kupitia makala hii nitakuonyesha njia moja rahisi ambayo unaweza kutumia kupata Free hosting  bure kabisa bila gharama yoyote.

Kumbuka ofa hii inaweza kuisha muda wowote hivyo hakikisha unajiunga na ofa hii haraka iwezekanavyo bila kupoteza muda. Unaweza kuona ofa zote kupitia picha hapo chini. Vifurushi vyote ni bure kwa mwaka mzima.

Jinsi ya Kupata FREE Hosting Mwaka Mzima (Bure 100%)

Advertisement

Kitu cha muhimu hakikisha unayo domain kama huna domain unaweza kusoma makala yetu hapa jinsi ya kutengeneza domain kwa TSH 3000 kisha moja kwa moja unaweza kuanza kutengeneza tovuti yako bure kabisa kupitia hosting ya mwaka mzima bure.

Unacho takiwa kufanya ni kutembelea link hapo chini, kisha baada ya hapo chagua kifurushi unachotaka, kumbuka vifurushi vyote ni bure kwa mwaka mmoja (Hivyo chagua kifurushi ukipendacho).

Tembela Tovuti Hapa

Baada ya hapo hakikisha unachagua sehemu ya domain kama tayari unayo domain, kama huna pia unaweza kununua domain kupitia tovuti hiyo kwa kuchagua sehemu ya new domain.

Jinsi ya Kupata FREE Hosting Mwaka Mzima (Bure 100%)

Baada ya hapo utapelekwa kwenye sehemu ambayo unatakiwa kutengeneza akaunti yako, kama unavvyoweza kuona hapo chini gharama ni bure kabisa, huna haja ya kuwa na kadi ya malipo wala kitu chochote.

Jinsi ya Kupata FREE Hosting Mwaka Mzima (Bure 100%)

Baada ya hapo chagua sehemu ya kutengeneza akaunti na ili kurahisha mambo na kupewa ofa hii kwa urahisi hakikisha unajiunga kwa kutumia akaunti zako za Google au Facebook ni rahisi zaidi na hii pia ni rahisi kwa kampuni hii kuamini wewe ni mtu na sio roboti.

Jinsi ya Kupata FREE Hosting Mwaka Mzima (Bure 100%)

Baada ya hapo moja kwa moja utakuwa uko tayari kupata ofa yako na utaweza kupokea barua pepe yenye kila kitu, pia kupitia control panel unaweza kupata kila kitu kwa urahisi na haraka.

Jinsi ya Kupata FREE Hosting Mwaka Mzima (Bure 100%)

Na hivyo ndivyo unavyoweza kupata FREE hosting kwa mwaka mzima bure bila malipo waka chochote. Kumbukua ofa hii inaweza kuisha muda wowote na hivyo hakikisha unafanya haraka kuchukua ofa hii sasa.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use