Jinsi ya Kutengeneza Dollar $3 au $5 Mtandaoni (Njia Rahisi)

Unaweza kutengeneza zaidi ya $10 kama unaweza kushawishi watu
Jinsi ya Kutengeneza Dollar $3 au $5 Mtandaoni (Njia Rahisi) Jinsi ya Kutengeneza Dollar $3 au $5 Mtandaoni (Njia Rahisi)

Habari na karibu kwenye makala nyingine, siku ya leo nitaenda kuonyesha njia rahisi sana ambayo unaweza kuitumia kutengeneza pesa mtandaoni hadi kiasi cha dollar 3 au 5 kila siku kwa kualika watu kwenye tovuti.

Njia hii ni rahisi sana guys na ukweli inahitaji tu jitihada na pia kama wewe ni mtaalamu wa kushare link kwenye magroup mbalimbali basi nakuhakikishia utaweza kutengeneza pesa ambayo inaweza kukusaidia kufanya mambo madogo madogo.

Pia uzuri wa njia hii ni kuwa huna haja ya kununua kitu chochote bali wewe unachofanya ni kualika watu pekee.

Advertisement

Basi bila kuendelea kupoteza muda mwingi basi moja kwa moja twende tukajifunze hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza angalau dollar 4 kila siku kwa kualika watu kutumia tovuti. Hakikisha unafuata maelezo mwanzo mpaka mwisho nakuhakikishia utaweza kutengeneza pesa mtandaoni.

LINK ZA MUHIMU

 1. Bofya hapa kujiunga na Tovuti Hiyo

Guys kitu cha muhimu ni kujua kuwa njia hii haito kutajirisha bali inaweza kukupa mtaji wa kuweza kuanzisha kitu kingine ambacho kinaweza kukupa pesa mtandaoni kwa urahisi kwenye sikuzijazo. Pia kumbuka guys hakuna kitu kirahisi, kama unataka kufanikiwa kwenye njia hii hakikisha una alika watu wengi iwezekanavyo kwa kutumia link yako.

Update : Kuonyesha kwamba njia hii inafanya kazi kwa asilimia 100, Baada ya siku kadhaa za kutumia njia hii tayari njia hii inaweza kuingiza pesa kwenye akaunti yetu ya majaribio na nimeona niweke hapa data zinazoonyesha kiwango tulicho tengeneza hadi sasa leo tarehe 24-10-2019.

Jinsi ya Kutengeneza Dollar $3 au $5 Mtandaoni (Njia Rahisi)

Update : Baada ya kutoa pesa kwa awamu ya kwanza kwenye njia hii hadi leo tarehe 26/01/2021 unaweza kuona hadi sasa kwenye akaunti hii ya majaribio kuna kiasi cha jumla ya dollar $53.69.

Jinsi ya Kutengeneza Dollar $3 au $5 Mtandaoni (Njia Rahisi)

Jinsi ya Kuongeza Kipato Zaidi

Unaweza kuchukua video hiyo hapo juu na kushare na watu wako kwenye Group la Facebook, WhatsApp au hata Telegrama na kisha chini yake waka link yako na watu wakielewa kupitia video hiyo wataweza kujiunga kwa kutumia link yako. Pia unaweza kutengeneza video yako mwenyewe ili kushauri watu kwa vitendo.

Kama kwa namna yoyote umeona njia hii ni ngumu kwako basi unaweza kuangalia njia nyingine nyingi ambazo zinapatikana kwenye tovuti hii ya Tanzania Tech kwenye kipingele cha pesa mtandaoni, kwa sasa unaweza kuanza na njia hii ya kutengeneza pesa kupitia WhatsApp.

12 comments
 1. Mi nataka kueleweshwa kuhusu upatikanaji wa hela kwenye account yangu unapataje make nimejalibu naletewa vitu vingine na hivyo vitu no vyenu he Mimi nitapataje pesa?

 2. Naomba kujua kuna sharti lolote ukiwa tayari umepata kiwango flani cha fedha kwenye acount unapo hitaji kuzipata physical namaanisha my be lazima uwe umewainvaite watu idadi maalum au usioungue kiwango maalum cha fedhaa

 3. How to withdraw ,
  Please msaada kidogo hapo !! Nimefanya majalibio nataka kutoa sioni sehemu ya kutoa!!! Au wanatuma wengewe moja kwa moja maana nili select Skrill account!!! Na kama wanatuma nataka kujua mpaka ifike bei gani ndo watume?
  Best regards.
  Benson Mhagama

 4. Nataka kujua uki share kwa watu wangapi?ili kuweza kupata hiyo dollar,kwa ufupi nahitaji idadi ya kushare
  Ahsante

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use