in

Badilisha Simu Yoyote ya Android Kuwa Kama iPhone

Badili muonekano wa simu yako ya Android kuwa iOS

Badilisha Simu Yoyote ya Android Kuwa Kama iPhone5:19

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda kubadilisha muonekano wa simu yako mara kwa mara basi makala hii ni kwa ajili yako.

Kupitia makala hii utaweza kujifunza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kubadilisha muonekano wa simu yako ya Android ili iweze kuonekana kama simu ya iPhone, kumbuka njia hii ni rahisi sana na haitaji ujuzi wa aina yoyote hivyo hata wewe unaweza kujaribu muonekano huu kwenye simu yako sasa. Kumbuka unaweza kupata app zote zilizotajwa kupitia hapo chini.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Launcher iOS 16
Price: Free

Download App Hapa

Download App Hapa

Lock Screen iOS 15
Price: Free

Download App Hapa

Control Center iOS 15

Download App Hapa

Pia ili kuweka muonekano mzuri zaidi wa iPhone kwenye simu yako unaweza kudownload wallpaper za iphone 12 moja kwa moja kwenye simu yako kupitia hapa.

Kama unataka kujifunza maujanja zaidi ya jinsi ya kubadilisha simu yoyote ya Android kuwa kama Galaxy S10, unaweza kusoma makala hapa. Kwa habari zaidi na maujanja hakikisha unaendelea kutembelea tovuti ya Tanzania Tech kila siku, pia usisahau kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech hapa kwa ajili ya kujifunza maujanja mbalimbali kwa vitendo.

Badilisha Simu Yoyote ya Android Kuwa Kama iPhone
Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Jinsi ya Ku-sign na Ku-edit PDF Kupitia Smartphone

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

2 Comments