Angalia Kama Simu Yako Inayo Teknolojia ya Kuzuia Maji

Angalia kama simu yako inaingia maji bila kuweka simu yako kwenye maji
Angalia Kama Simu Yako Inayo Teknolojia ya Kuzuia Maji Angalia Kama Simu Yako Inayo Teknolojia ya Kuzuia Maji

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao siku za karibuni wamenunua simu mpya au kama unataka kununua simu mpya au hata kama unayo simu ambayo unataka kujua kama ina uwezo wa kuingiza maji basi njia hii itakusaidia sana.

Tofauti na majaribio ya kuingiza simu yako kwenye maji, njia hii haitaji wewe kuingiza simu yako kwenye maji bali unahitajika kufuata hatua rahisi hapo chini, hakikisha una angalia video yote hapo chini kujua kama simu yako ina teknolojia ya kuzuia maji maarufu kama water resistant.

Advertisement

Download App Hapa

Kwa kufuata hatua zote hapo juu utakuwa umeweza kujua kama simu yako inayo teknolojia ya kuzuia maji kuingia kwenye simu yako. Kama unataka kujifunza zaidi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech kila siku, pia unaweza kutembelea channel yetu kupitia YouTube hapa ili kujifunza kwa vitendo.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use