in

Jinsi ya Kutengeneza Website kwa Kutumia Smartphone (Part 2)

Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza website kwa kutumia simu

Jinsi ya Kutengeneza Website kwa Kutumia Smartphone (Part 2)

Kama wewe ni msomaji wa tovuti ya Tanzania Tech najua unajua kuwa kipindi cha nyuma tulijifunza awamu ya kwanza ya jinsi ya kutengeneza tovuti ya muziki kwa kutumia smartphone. Leo tunaendelea na awamu ya pili ya video hiyo na leo nimekuletea jinsi ya kutengeneza domain ya bure pamoja na kuiweka kwenye tovuti yetu tuliyo tengeneza kwenye video iliyopita.

Kumbuka kama bado huja angalia video iliyopita unaweza kuangalia video hii kupitia hapo chini, kumbuka ni muhimu kuangalia video zote ili kujua ni mahali gani ambapo unatakiwa kuanzia.

ANGALIA VIDEO ILIYOPITA HAPA

Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

5 Comments