android

Hizi Ndio Simu Bora za Android za Kununua Mwaka 2016

HTC 10

HTC 10 ni moja kati ya smartphone bora sana kwa sasa, simu hii kutoka kampuni ya HTC ni nzuri kuitumia ukianzia kwenye muundo mpaka kwenye sifa za simu hii kwa ujumla. Simu hii iliyotaka mapema mwaka huu ni moja kati ya simu ngumu kutoka kampuni hiyo yenye makao yake makuu huko Taoyuan nchini Taiwan.

BEI TZS 1,600,000

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
What.cd
Tovuti Maarufu ya Muziki ya Torrent What.cd Yafungiwa
Next Post
iphone

Video Hii ya Sekunde 5 Inaweza Kuzima Simu Yako ya iPhone