android

Hizi Ndio Simu Bora za Android za Kununua Mwaka 2016

Huawei Mate 9

https://www.youtube.com/watch?v=dX0BR_r8Es0

Huawei Mate 9 ni simu mpya kabisa kutoka kampuni ya Huawei, simu hii ni bora sana kuwa nayo hasa kama wewe ni mpenzi wa simu za android. Simu hii imetengenzezwa kwa sifa nyingi mpya na bora za mwaka huu 2016. Simu hii mpya kutoka huawei ni moja kati ya simu bora sana za mwaka huu, hivyo ni vyema kuitafuta pale itakapo ingia sokoni hapa Tanzania.

BEI TZS 1,700,000

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
What.cd
Tovuti Maarufu ya Muziki ya Torrent What.cd Yafungiwa
Next Post
iphone

Video Hii ya Sekunde 5 Inaweza Kuzima Simu Yako ya iPhone