Simu Bora ya Tecno Camon 30 Yaongoza Mauzo Mwezi Julai

Teknolojia mpya ya AI ya (AIGC) yafanya Simu hii Kupendwa Zaidi
Simu Bora ya Tecno Camon 30 Yaongoza Mauzo Mwezi Julai Simu Bora ya Tecno Camon 30 Yaongoza Mauzo Mwezi Julai

Katika ulimwengu unaobadilika wa simu za mkononi, hasa nchini Tanzania, utafiti uliofanywa na wauzaji wa simu umeonyesha kwamba TECNO CAMON 30 imekuwa simu inayouzwa zaidi, ikipita brand zingine zote na kuashiria uamsho mkubwa kwa brand ya TECNO baada ya kipindi cha kushuka kwa mauzo yake.

Vipengele muhimu vinavyochangia mafanikio ya CAMON 30 ni pamoja na mfumo wa kamera wa kisasa ulio na sensa ya SONY.

Advertisement

Simu Bora ya Tecno Camon 30 Yaongoza Mauzo Mwezi Julai

Pamoja na mfumo huo wa kamera pia kipengele cha AIGC yenye uwezo wa kubadili taswira au picha yako katika mtazamo mwingine (Nasi tumefanya majaribio kwa kupiga picha sura za watu maarufu nchini kupitia camera ya CAMON 30 AIGC na zikatuletea taswira hizi za AI).

Zaidi ya yote kuwepo kwa earbuds zenye uwezo mzuri wa bass zikija ndani ya box la simu hio.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *