Tecno Yashinda Tuzo Mbili Za Dhahabu Kwa Ubunifu Wa AIoT 2024 1

Tecno Yashinda Tuzo Mbili Za Dhahabu Kwa Ubunifu Wa AIoT 2024

TECNO imeshinda Tuzo mbili za Dhahabu kwa ubunifu wa AIoT katika Maonyesho ya IFA Berlin 2024, ikitambuliwa kwa bidhaa zake mbili: TECNO MEGA MINI Gaming G1, kompyuta ndogo zaidi duniani, na TECNO Pocket Go, kifaa cha michezo cha AR chenye uzoefu wa 6D.

Previous Post
TECNO Yazindua Jukwaa la TECNO Tanzania Campus Community (TTCC) 2
TECNO Yazindua Jukwaa la TECNO Tanzania Campus Community (TTCC)
Next Post
Tovuti Itakayo Kulipa Pesa Kutoa Maoni Mtandaoni Kuanzia $5 3

Tovuti Itakayo Kulipa Pesa Kutoa Maoni Mtandaoni Kuanzia $5