Kama hukufanikiwa kuangalia uzinduzi wa simu za Galaxy Note 10 na Note 10+ basi usijali kwani unaweza kuangalia hapa yote ya muhimu yaliyojiri kwenye mkutano huo ndani ya dakika saba. Kama kwa namna yoyote unataka kujua sifa za Galaxy Note 10 na sifa za Galaxy Note 10+ basi unaweza kusoma kupitia hapa.
Video: Angalia Hapa Uzinduzi wa Galaxy Note 10 Ndani ya Dakika 7
Comments
Sign in with Google to post a comment
No comments yet. Be the first!
Samsung Galaxy Note 10
Comments
Sign in with Google to post a comment
No comments yet. Be the first!


