1. Home
  2. Products

Huawei Yazindua Huawei Nova 2S Simu Mpya Yenye Kamera Nne Comments

Back to post
Huawei Yazindua Huawei Nova 2S Simu Mpya Yenye Kamera Nne

Kwa muda wa miezi michache iliyopita huawei imezundua simu za Mate 10/Mate 10 Pro, Honor View 10, pamoja na Honor x7. Lakini kama haitoshi Huawei…

  1. Amani Joseph
    Amani Joseph

    Hii simu usinunue kabisa Kutoka kwa Wafanya Biashara wa Kariakoo, kwani imebadilishwa mfumo ili kuonekana kama inasoma GB 128 wakati ni 64 na RAM 6 Wakati ni RAM 3. Wafanyabishara wengi wa kariakoo sio waaminifu kuwa makini

  2. Carlos Mabogo
    Carlos Mabogo

    Huawei nova 2s imekuja na GB 256 lakin ni inauwezo wa GB64

Leave a Comment