Google Pixel

Hizi Hapa Ndio Picha za Simu Mpya za Google Pixel na Pixel XL

Kama wewe ni mpenzi wa simu za Google Pixel kutoka kampuni ya Google hivi karibuni kumesambaa picha mambazo zinasadikiwa kuwa ndio picha pekee ambazo zina onyesha simu hizo kabla hazija toka.

Simu hizo zinatarajiwa kutoka mwezi october tarehe 4 ambapo simu hizo zinasemekana kuwa zimechukua nafasi ya simu za awali za Nexus kutoka kwenye kampuni hiyo maarufu ya Google. Zifuatazo ni sifa za simu za Google Pixel pamoja na Google Pixel XL

Pixel (Sailfish)
• Display: 5-inch 1080p AMOLED
• Processor: Qualcomm Snapdragon 820
• RAM: 4GB (3.7 benchmarked)
• Internal Storage: 32GB, 64GB
• Camera: 12MP back-facing camera with 4K video recording
• Front-Camera: 8-megapixel
• Battery: 2770-mAh
• Connectivity: USB-C, Bluetooth 4.2, Wi-Fi, 4G LTE, 3G

Pixel XL (Marlin)
• Display: 5.5-inch 2K 2560 x 1440 AMOLED
• Processor: Qualcomm Snapdragon 820
• RAM: 4GB (3.7 benchmarked)
• Internal Storage: 32GB, 128GB
• Camera: 12MP back-facing camera with 4K video recording
• Front-Camera: 8-megapixel
• Battery: 3450-mAh
• Connectivity: USB-C, Bluetooth 4.2, Wi-Fi, 4G LTE, 3G

https://www.youtube.com/watch?v=GNGYWhffioU

Ili kujua kuhusu simu hiyo na mengine mengi ya teknolojia endelea kutembelea blog ya Tanzania tech kila siku au unaweza kupata habari zote za teknolojia moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi kwa ku-download App ya Tanzania tech  moja kwa moja kwenye simu yako ya Android, pia unaweza kujiunga nasi kwa barua pepe pamoja na mitandao yetu ya kijamii ya Facebook, Twitter, Instagram pamoja na Yotube  ili kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya video.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Whatsapp
Hizi Ndio Njia Mtu Anazotumia Ku-Hack Akaunti Yako Ya WhatsApp
Next Post
Groups

Sasa Tumia Link Maalum Kualika Watu Kwenye WhatsApp Groups