Angalia Mubashara Uzinduzi wa Samsung Galaxy Note 9

Fuatilia hapa uzinduzi wa simu mpya ya Galaxy Note 9
uzinduzi wa galaxy note 9 uzinduzi wa galaxy note 9

Kampuni ya Samsung leo inazindua simu yake mpya ya Galaxy Note 9 huko New York nchini marekani. Hapa tunakuleta uzinduzi wa simu hiyo mubashara kabisa kutoka marekani, unaweza kuangalia tamasha la uzinduzi huo hapo chini pia kama unaona kwa namna yoyote uwezi kufuatilia kupitia video unaweza kufuatilia uzinduzi huo kupitia akaunti ya Twitter ya Samsung na tovuti ya Samsung.

Pia unaweza kupakua app ya Tanzania Tech na utapata taarifa zote za muhimu kuhusu simu hiyo pale zitakapo kuwa zinatangazwa, pia kama una swali unaweza kuuliza swali kupitia HAPA. Kama unataka kufuatilia tetesi za simu hii unaweza kufanya hivyo kwa kufuatilia ukurasa huu maalum.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *