Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya Huawei P20 1

Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya Huawei P20

Huawei leo wanatangaza ujio wa simu yake mpya ya Huawei P20, simu hii inatarajiwa kuja na sifa za tofauti pamoja na muundo mpya kabisa. Unaweza kujiunga mubashara kabisa kuangalia uzinduzi wa simu hii moja kwa moja kutoka nchini ufaransa.

https://www.youtube.com/watch?v=nmyVH15r1lA

Simu hii inasemekana kuja na kamera tatu zenye uwezo ambao haujawahi kutokea kwenye simu kwa sasa, simu hiyo inasemekana kuja na kamera ya Megapixel 40, Megapixel 20 pamoja na Megapixel 2. Hiyo ni simu moja ya Huawei P20 Pro ndio yenye kamera hizo. Endelea kutembelea Tanzania Tech tutakujuza mengine mengi.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Simu Mpya Xiaomi-Mi-Mix-2
Simu Mpya Zinazo Tarajiwa Kuzinduliwa Leo Tarehe 27/3/2018
Next Post
Camon X

Simu Mpya ya Tecno Camon X Kuzinduliwa Rasmi April 5