Angalia Tamasha la Apple “Unleashed” Ndani ya DK 13

Apple imezindua bidhaa mpya mbalimbali ikiwa pamoja na MacBook Pro mpya
Angalia Tamasha la Apple "Unleashed" Ndani ya DK 13 Angalia Tamasha la Apple "Unleashed" Ndani ya DK 13

Kampuni ya Apple kwa mara nyingine inakuja na tamasha jipya ambapo kampuni hiyo inatangaza kuhusu mambo mapya kwenye bidhaa zake.

Mara baada ya Apple kufanya tamasha lake la “Unleashed” hapo siku ya jana october 18, hatimaye hivi leo unaweza kuangalia yote yaliyojiri hapo siku ya jana ndani ya DK 13.

Advertisement

Mambo unayo pengine utarajie kusikia ni kuhusu uzinduzi wa earpods mpya, huku kubwa ikiwa uzinduzi wa Macbook Pro Mpya.

Kwa habari zaidi kuhusu vyote vitakavyo zinduliwa hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech tutakupa habari zote.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
1 comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *