youtube kuchat

Hivi Karibuni Utaweza Kuchat Kupitia Mtandao wa Youtube

Hivi karibuni youtube imeanza majaribio yake mengine ya kujaribu sehemu mpya ya kuchat kupitia mtandao wa YouTube, Majaribio haya ni ya awamu ya pili sasa kutoka yale yaliokua yakifanyika miezi nane iliyopita. Majaribio haya ya sasa yanasogeza karibu uwezekano wa sehemu hiyo kukujia kwenye simu yako ya Android na iOS ndani kabla ya mwaka huu.

https://www.youtube.com/watch?v=feBF_IY-HI8

Kwa sasa sehemu hiyo mpya inapatikana pekee kwa nchi za Canada na bado haijajulikana kuwa lini itatoka kwa dunia nzima. Kwa habari zaidi enedlea kutembelea Tovuti ya Tanzania Tech au unaweza kudownload App ya Tanzania Tech kupitia Play Store. Pia unaweza kujiunga na Youtube Channel yetu ili kujifunza zaidi kuhusu teknolojia.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Fast Jet
Jinsi ya Kununua Ticket ya Ndege Kwa Kutumia Mtandao
Next Post
S8

Samsung Yakosea na Kuvujisha Muonekano wa Galaxy S8