Video : Jinsi Kenya Ilivyorusha Satelaiti Yake ya Kwanza

Tukio hilo liliuzuriwa na viongozo mbalimbali wa serikali ya Kenya
Satelaiti ya Kenya Satelaiti ya Kenya

Kama wewe ni msomaji wa tovuti ya Tanzania Tech basi lazima utakuwa unajua kuwa wiki hii tarehe 11 mwezi huu wa tano, Kenya ilitangaza kuwa itarusha satelaiti yake ya kwanza. Baada ya tukio hilo kufanikiwa kufanyika hapo siku ya Ijumaa, Jumapili hii ya leo nimekusogezea video ya tukio hilo lilivyokuwa mubashara kutoka nchini Japan. Tukio hilo liliuzuriwa na viongozo mbalimbali wa serikali ya Kenya, pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Jaxa ambao ndio waliorusha satelaiti hiyo.

Advertisement

Baada ya Kenya kufanikiwa kurusha satelaiti yake hiyo ya kwanza nini maoni yako, vipi kuhusu Tanzania..? unahisi inaendana na kasi ya sayansi na teknolojia kama ilivyo nchi ya Kenya tuambie kwenye maoni hapo chini.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
3 comments
  1. Mmmmh sitojibu kuhusu nchi yangu labda kitengo hicho wapo njiani kulifanya hilo

    Ila kwa haraka haraka sidhani kama tutafanya hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *