Video : Gari Jipya Lenye Uwezo wa Kupaa (2021)

Gari hili lina uwezo wa kutembea barabarani na pia lina uwezo wa kupaa
Video : Gari Jipya Lenye Uwezo wa Kupaa (2021) Video : Gari Jipya Lenye Uwezo wa Kupaa (2021)

Kutana na gari jipya lenye uwezo wa kupaa, gari ni tofauti na magari mengine ambayo yamewahi kuonekana kutokana na gari hili kuwa na uwezo mkubwa wa kupaa kuliko magari mangine ambayo yametangulia.

Bofya play hapo chini kuangalia video wakati gari hilo likifanyiwa majaribio rasmi hapo mwezi Juni tarehe 28 mwaka 2021.

Advertisement

https://www.dailymotion.com/video/x82yd53

 

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *